1 Wafalme 18:24
1 Wafalme 18:24 Biblia Habari Njema (BHN)
Kisha, wao watamwomba mungu wao, nami nitamwomba Mwenyezi-Mungu. Mungu atakayejibu kwa kuleta moto, huyo ndiye Mungu wa kweli.” Na hapo umati wote ukasema, “Naam! Na iwe hivyo.”
Shirikisha
Soma 1 Wafalme 181 Wafalme 18:24 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Nanyi ombeni kwa jina la mungu wenu, nami nitaomba kwa jina la BWANA; na Mungu yule ajibuye kwa moto, na awe ndiye Mungu. Watu wote wakajibu wakasema, Maneno haya ni mazuri.
Shirikisha
Soma 1 Wafalme 18