1 Wafalme 16:31
1 Wafalme 16:31 Biblia Habari Njema (BHN)
Tena, licha ya kuiga mwenendo mbaya wa Yeroboamu mwana wa Nebati, Ahabu alimwoa Yezebeli binti Ethbaali, mfalme wa Wasidoni; akamtumikia na kumwabudu Baali.
Shirikisha
Soma 1 Wafalme 161 Wafalme 16:31 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Ikawa, kama ingalikuwa neno dogo tu kuyaendea makosa ya Yeroboamu mwana wa Nebati, akamwoa Yezebeli binti Ethbaali, mfalme wa Wasidoni, akaenda akamtumikia Baali, akamsujudia.
Shirikisha
Soma 1 Wafalme 16