1 Wakorintho 9:27
1 Wakorintho 9:27 Biblia Habari Njema (BHN)
Naupa mwili wangu mazoezi magumu na kuutia katika nidhamu kamili, nisije mimi mwenyewe nikakataliwa baada ya kuwahubiria wengine.
Shirikisha
Soma 1 Wakorintho 91 Wakorintho 9:27 Swahili Revised Union Version (SRUV)
bali nautesa mwili wangu na kuutumikisha; isiwe, nikiisha kuwahubiria wengine, mwenyewe niwe mtu wa kukataliwa.
Shirikisha
Soma 1 Wakorintho 9