1 Wakorintho 8:6
1 Wakorintho 8:6 Biblia Habari Njema (BHN)
hata hivyo, kwetu sisi yuko Mungu mmoja tu; Baba, Muumba wa vyote, ambaye kwa ajili yake sisi tuko. Pia yuko Bwana mmoja tu, Yesu Kristo, ambaye kwa njia yake vitu vyote viliumbwa, na sisi twaishi kwa njia yake.
Shirikisha
Soma 1 Wakorintho 81 Wakorintho 8:6 Swahili Revised Union Version (SRUV)
lakini kwetu sisi Mungu ni mmoja tu, aliye Baba, ambaye vitu vyote vimetoka kwake, nasi tunaishi kwake; yuko na Bwana mmoja Yesu Kristo, ambaye kwake vitu vyote vimekuwapo, na sisi kwa yeye huyo.
Shirikisha
Soma 1 Wakorintho 8