1 Wakorintho 8:1
1 Wakorintho 8:1 Neno: Maandiko Matakatifu 2024 (NENO)
Sasa kuhusu chakula kilichotolewa sadaka kwa sanamu, tunajua kwamba “sisi sote tuna ujuzi.” Lakini ujuzi hujivuna, bali upendo hujenga.
Shirikisha
Soma 1 Wakorintho 81 Wakorintho 8:1 Biblia Habari Njema (BHN)
Yahusu sasa vyakula vilivyotambikiwa sanamu: Tunajua kwamba sisi sote tuna ujuzi, lakini ujuzi huo huwafanya watu wawe na majivuno; lakini mapendo hujenga.
Shirikisha
Soma 1 Wakorintho 81 Wakorintho 8:1 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Na kuhusu vyakula vilivyotolewa sadaka kwa sanamu; Twajua ya kuwa sisi sote tuna ujuzi. Ujuzi huleta majivuno, bali upendo hujenga.
Shirikisha
Soma 1 Wakorintho 8