1 Wakorintho 7:8-9
1 Wakorintho 7:8-9 Biblia Habari Njema (BHN)
Basi, wale ambao hawajaoa na wale walio wajane nawaambia kwamba ni vema kuendelea kuwa kama mimi nilivyo. Hata hivyo, kama mtu hawezi kujizuia, basi na aoe; maana ni afadhali zaidi kuoa kuliko kuwaka tamaa.
Shirikisha
Soma 1 Wakorintho 71 Wakorintho 7:8-9 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Lakini nawaambia wale wasiooa bado, na wajane, Ni heri wakae kama mimi nilivyo. Lakini ikiwa hawawezi kujizuia, na waoe; maana ni afadhali kuoa kuliko kuwaka tamaa.
Shirikisha
Soma 1 Wakorintho 7