1 Wakorintho 6:9
1 Wakorintho 6:9 Biblia Habari Njema (BHN)
Au je, hamjui kwamba watu wabaya hawataurithi ufalme wa Mungu? Msijidanganye! Watu wanaoishi maisha ya uasherati, wanaoabudu sanamu, wazinzi, au walawiti
Shirikisha
Soma 1 Wakorintho 61 Wakorintho 6:9 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Au hamjui ya kuwa wadhalimu hawataurithi ufalme wa Mungu? Msidanganyike; waasherati hawataurithi ufalme wa Mungu, wala waabudu sanamu, wala wazinzi, wala wafiraji, wala walawiti
Shirikisha
Soma 1 Wakorintho 6