1 Wakorintho 6:20
1 Wakorintho 6:20 Biblia Habari Njema (BHN)
Mlinunuliwa kwa bei kubwa. Kwa hiyo, itumieni miili yenu kwa ajili ya kumtukuza Mungu.
Shirikisha
Soma 1 Wakorintho 61 Wakorintho 6:20 Swahili Revised Union Version (SRUV)
maana mlinunuliwa kwa thamani. Sasa basi, mtukuzeni Mungu katika miili yenu.
Shirikisha
Soma 1 Wakorintho 61 Wakorintho 6:20 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
maana mlinunuliwa kwa thamani. Sasa basi, mtukuzeni Mungu katika miili yen
Shirikisha
Soma 1 Wakorintho 6