1 Wakorintho 6:12
1 Wakorintho 6:12 Biblia Habari Njema (BHN)
Mtu anaweza kusema: “Kwangu mimi kila kitu ni halali.” Sawa; lakini si kila kitu kinafaa. Nakubali kwamba kila kitu ni halali kwangu lakini sitaki kutawaliwa na kitu chochote.
Shirikisha
Soma 1 Wakorintho 61 Wakorintho 6:12 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Vitu vyote ni halali kwangu, lakini si vyote vifaavyo; vitu vyote ni halali kwangu, lakini mimi sitatiwa chini ya uwezo wa kitu chochote.
Shirikisha
Soma 1 Wakorintho 6