1 Wakorintho 3:8
1 Wakorintho 3:8 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Basi yeye apandaye, na yeye atiaye maji ni wamoja, lakini kila mtu atapata thawabu yake mwenyewe sawasawa na taabu yake mwenyewe.
Shirikisha
Soma 1 Wakorintho 31 Wakorintho 3:8 Biblia Habari Njema (BHN)
Yule aliyepanda na yule aliyemwagilia maji wote ni sawa, ingawa kila mmoja atapokea tuzo lake kufuatana na jitihada yake mwenyewe.
Shirikisha
Soma 1 Wakorintho 3