1 Wakorintho 3:18
1 Wakorintho 3:18 Biblia Habari Njema (BHN)
Msijidanganye! Mtu yeyote miongoni mwenu akijidhania mwenye hekima mtindo wa kidunia, heri awe mjinga kusudi apate kuwa na hekima ya kweli.
Shirikisha
Soma 1 Wakorintho 31 Wakorintho 3:18 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Mtu asijidanganye mwenyewe; kama mtu akijiona kuwa mwenye hekima miongoni mwenu katika dunia hii, na awe mpumbavu, ili apate kuwa mwenye hekima.
Shirikisha
Soma 1 Wakorintho 31 Wakorintho 3:18 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Mtu asijidanganye mwenyewe; kama mtu akijiona kuwa mwenye hekima miongoni mwenu katika dunia hii, na awe mpumbavu, ili apate kuwa mwenye hekima.
Shirikisha
Soma 1 Wakorintho 3