1 Wakorintho 3:15
1 Wakorintho 3:15 Biblia Habari Njema (BHN)
lakini kama alichojenga kitaunguzwa, basi, atapoteza tuzo lake; lakini yeye mwenyewe ataokolewa kana kwamba ameponyoka kutoka motoni.
Shirikisha
Soma 1 Wakorintho 31 Wakorintho 3:15 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Kazi ya mtu ikiteketea, atapata hasara; ila yeye mwenyewe ataokolewa; lakini ni kama kwa moto.
Shirikisha
Soma 1 Wakorintho 3