1 Wakorintho 3:13
1 Wakorintho 3:13 Biblia Habari Njema (BHN)
Iwe iwavyo, ubora wa kazi ya kila mmoja utaonekana wakati siku ile ya Kristo itakapoifichua. Maana, siku hiyo itatokea na moto, na huo moto utaipima na kuonesha ubora wake.
Shirikisha
Soma 1 Wakorintho 31 Wakorintho 3:13 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Maana siku ile itaidhihirisha, kwa kuwa yafunuliwa katika moto; na ule moto wenyewe utaijaribu kazi ya kila mtu, ni ya namna gani.
Shirikisha
Soma 1 Wakorintho 3