1 Wakorintho 2:9
1 Wakorintho 2:9 Biblia Habari Njema (BHN)
Lakini, ni kama yasemavyo Maandiko Matakatifu: “Mambo ambayo jicho halijapata kuyaona, wala sikio kuyasikia, mambo ambayo binadamu hajapata kuyafikiria moyoni, hayo ndiyo Mungu aliyowatayarishia wale wampendao.”
Shirikisha
Soma 1 Wakorintho 21 Wakorintho 2:9 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Lakini, kama ilivyoandikwa, Mambo ambayo jicho halikuyaona wala sikio halikuyasikia, (Wala hayakuingia katika moyo wa mwanadamu,) Mambo ambayo Mungu aliwaandalia wampendao.
Shirikisha
Soma 1 Wakorintho 21 Wakorintho 2:9 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
lakini, kama ilivyoandikwa, Mambo ambayo jicho halikuyaona wala sikio halikuyasikia, (Wala hayakuingia katika moyo wa mwanadamu,) Mambo ambayo Mungu aliwaandalia wampendao.
Shirikisha
Soma 1 Wakorintho 2