1 Wakorintho 2:14
1 Wakorintho 2:14 Biblia Habari Njema (BHN)
Mtu wa kidunia hapokei mambo ya Roho wa Mungu. Kwake mtu huyo mambo hayo ni upumbavu mtupu; yanapita akili yake; maana yanaweza tu kutambuliwa kwa msaada wa Roho.
Shirikisha
Soma 1 Wakorintho 21 Wakorintho 2:14 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Basi mwanadamu wa tabia ya asili hayapokei mambo ya Roho wa Mungu; maana kwake huyo ni upuzi, wala hawezi kuyafahamu, kwa kuwa yatambulikana kwa jinsi ya rohoni.
Shirikisha
Soma 1 Wakorintho 2