1 Wakorintho 2:11
1 Wakorintho 2:11 Biblia Habari Njema (BHN)
Nani awezaye kujua mambo ya ndani ya mtu isipokuwa roho yake mtu huyo? Hali kadhalika, hakuna ajuaye mambo ya Mungu isipokuwa Roho wa Mungu.
Shirikisha
Soma 1 Wakorintho 21 Wakorintho 2:11 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Maana ni nani katika binadamu ayajuaye mambo ya binadamu ila roho ya binadamu iliyo ndani yake? Vivyo hivyo na mambo ya Mungu hakuna ayafahamuye ila Roho wa Mungu.
Shirikisha
Soma 1 Wakorintho 2