1 Wakorintho 15:21-22
1 Wakorintho 15:21-22 Biblia Habari Njema (BHN)
Maana kama vile kifo kilivyoletwa duniani na mtu mmoja, vivyo hivyo nako kufufuka kutoka kwa wafu kumesababishwa na mtu mmoja. Kama vile watu wote wanavyokufa kwa kujiunga na Adamu, vivyo hivyo wote watafufuliwa kwa kuungana na Kristo.
Shirikisha
Soma 1 Wakorintho 151 Wakorintho 15:21-22 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Maana kwa kuwa mauti ililetwa na mtu, kadhalika na kiyama ya wafu ililetwa na mtu. Kwa kuwa kama katika Adamu wote wanakufa, kadhalika na katika Kristo wote watahuishwa.
Shirikisha
Soma 1 Wakorintho 15