1 Wakorintho 14:4
1 Wakorintho 14:4 Biblia Habari Njema (BHN)
Mwenye kunena lugha ngeni anajijenga mwenyewe. Lakini mwenye kipaji cha kutangaza ujumbe wa Mungu, analijenga kanisa.
Shirikisha
Soma 1 Wakorintho 141 Wakorintho 14:4 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Yeye anenaye kwa lugha hujijenga nafsi yake; bali atoaye unabii hulijenga kanisa.
Shirikisha
Soma 1 Wakorintho 14