1 Wakorintho 14:26
1 Wakorintho 14:26 Biblia Habari Njema (BHN)
Ndugu, tuseme nini, basi? Mnapokutana pamoja, mmoja aimbe wimbo, mwingine atoe mafundisho, mwingine awe na ufunuo kutoka kwa Mungu, mwingine atumie kipaji cha kusema kwa lugha ngeni na mwingine afafanue yanayosemwa. Yote yawe kwa ajili ya kulijenga kanisa.
Shirikisha
Soma 1 Wakorintho 141 Wakorintho 14:26 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Basi, ndugu, imekuwaje? Mkutanapo pamoja, kila mmoja ana zaburi, ana fundisho, ana ufunuo, ana lugha, ana tafsiri. Mambo yote na yatendeke kwa kusudi la kujenga.
Shirikisha
Soma 1 Wakorintho 14