1 Wakorintho 14:1
1 Wakorintho 14:1 Biblia Habari Njema (BHN)
Jitahidini kuwa na upendo. Vilevile fanyeni bidii ya kupata vipaji vingine vya kiroho, hasa kipaji cha kutangaza ujumbe wa Mungu.
Shirikisha
Soma 1 Wakorintho 141 Wakorintho 14:1 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Ufuatilieni upendo, na kutaka sana karama za rohoni, lakini zaidi kwamba mpate kutoa unabii.
Shirikisha
Soma 1 Wakorintho 14