1 Wakorintho 13:4
1 Wakorintho 13:4 Biblia Habari Njema (BHN)
Mwenye upendo huvumilia, hufadhili; mwenye upendo hana wivu, hajidai, wala hajivuni.
Shirikisha
Soma 1 Wakorintho 131 Wakorintho 13:4 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Upendo huvumilia, hufadhili; upendo hauhusudu; upendo hautakabari; haujivuni
Shirikisha
Soma 1 Wakorintho 131 Wakorintho 13:4 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Upendo huvumilia, hufadhili; upendo hauhusudu; upendo hautakabari; haujivuni
Shirikisha
Soma 1 Wakorintho 13