1 Wakorintho 13:2
1 Wakorintho 13:2 Biblia Habari Njema (BHN)
Tena, naweza kuwa na kipaji cha kutangaza ujumbe wa Mungu, nikafahamu siri zote na kujua kila kitu; naweza kuwa na imani yote hata nikaweza kuihamisha milima, lakini kama sina upendo mimi si kitu.
Shirikisha
Soma 1 Wakorintho 131 Wakorintho 13:2 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Tena nijapokuwa na unabii, na kujua siri zote na maarifa yote, nijapokuwa na imani timilifu kiasi cha kuweza kuhamisha milima, kama sina upendo, mimi si kitu.
Shirikisha
Soma 1 Wakorintho 131 Wakorintho 13:2 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Tena nijapokuwa na unabii, na kujua siri zote na maarifa yote, nijapokuwa na imani timilifu kiasi cha kuweza kuhamisha milima, kama sina upendo, si kitu mimi.
Shirikisha
Soma 1 Wakorintho 13