1 Wakorintho 13:12
1 Wakorintho 13:12 Biblia Habari Njema (BHN)
Tunachoona sasa ni kama tu sura hafifu katika kioo, lakini hapo baadaye tutaona uso kwa uso. Sasa ninajua kiasi fulani tu, lakini hapo baadaye nitajua yote kikamilifu, kama vile Mungu anavyonijua mimi.
Shirikisha
Soma 1 Wakorintho 131 Wakorintho 13:12 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Maana sasa tunaona kwa kioo kwa jinsi ya fumbo; wakati ule tutaona uso kwa uso; sasa nafahamu kwa sehemu; wakati ule nitajua sana kama mimi nami ninavyojuliwa sana.
Shirikisha
Soma 1 Wakorintho 13