1 Wakorintho 12:28
1 Wakorintho 12:28 Biblia Habari Njema (BHN)
Mungu ameweka katika kanisa: Kwanza mitume, pili manabii, tatu waalimu; kisha ameweka wale wenye kipaji cha kufanya miujiza, kuponya na kusaidia; viongozi na wenye kusema lugha ngeni.
Shirikisha
Soma 1 Wakorintho 121 Wakorintho 12:28 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Na Mungu ameweka wengine katika kanisa, wa kwanza mitume, wa pili manabii, wa tatu waalimu, kisha miujiza, kisha karama za kuponya wagonjwa, aina za usaidizi, maongozi na aina za lugha.
Shirikisha
Soma 1 Wakorintho 12