1 Wakorintho 12:27
1 Wakorintho 12:27 Biblia Habari Njema (BHN)
Basi, nyinyi nyote ni mwili wa Kristo; kila mmoja wenu ni kiungo cha mwili huo.
Shirikisha
Soma 1 Wakorintho 121 Wakorintho 12:27 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Basi ninyi mmekuwa mwili wa Kristo, na kila mmoja wenu akiwa kiungo cha mwili huo.
Shirikisha
Soma 1 Wakorintho 121 Wakorintho 12:27 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Basi ninyi mmekuwa mwili wa Kristo, na viungo kila kimoja peke yake.
Shirikisha
Soma 1 Wakorintho 12