1 Wakorintho 12:26
1 Wakorintho 12:26 Biblia Habari Njema (BHN)
Kama kiungo kimoja kinaumia viungo vyote huumia pamoja nacho. Kiungo kimoja kikisifiwa viungo vingine vyote hufurahi pamoja nacho.
Shirikisha
Soma 1 Wakorintho 121 Wakorintho 12:26 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Na kiungo kimoja kikiumia, viungo vyote huumia nacho, na kiungo kimoja kikitukuzwa, viungo vyote hufurahi pamoja nacho.
Shirikisha
Soma 1 Wakorintho 121 Wakorintho 12:26 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Na kiungo kimoja kikiumia, viungo vyote huumia nacho, na kiungo kimoja kikitukuzwa, viungo vyote hufurahi pamoja nacho.
Shirikisha
Soma 1 Wakorintho 12