1 Wakorintho 12:25
1 Wakorintho 12:25 Biblia Habari Njema (BHN)
ili kusiweko na utengano katika mwili, bali viungo vyote vishughulikiane.
Shirikisha
Soma 1 Wakorintho 121 Wakorintho 12:25 Swahili Revised Union Version (SRUV)
ili kusiwe na mgawanyiko katika mwili, bali viungo vitunzane kila kiungo na mwenziwe.
Shirikisha
Soma 1 Wakorintho 121 Wakorintho 12:25 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
ili kusiwe na faraka katika mwili, bali viungo vitunzane kila kiungo na mwenziwe.
Shirikisha
Soma 1 Wakorintho 12