1 Wakorintho 12:11
1 Wakorintho 12:11 Biblia Habari Njema (BHN)
Hizo zote ni kazi za Roho huyohuyo mmoja, ambaye humpa kila mtu kipaji tofauti, kama apendavyo mwenyewe.
Shirikisha
Soma 1 Wakorintho 121 Wakorintho 12:11 Swahili Revised Union Version (SRUV)
lakini kazi hizi zote huzitenda Roho huyo mmoja, yeye yule, akimgawia kila mtu peke yake kama apendavyo yeye.
Shirikisha
Soma 1 Wakorintho 12