1 Wakorintho 11:28-29
1 Wakorintho 11:28-29 Biblia Habari Njema (BHN)
Basi, kila mtu ajichunguze mwenyewe kwanza, ndipo ale mkate huo na anywe kikombe hicho; maana anayekula na kunywa bila kutambua maana ya mwili wa Bwana, anakula na kunywa hukumu yake yeye mwenyewe.
Shirikisha
Soma 1 Wakorintho 111 Wakorintho 11:28-29 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Lakini mtu ajihoji mwenyewe, na hivyo aule mkate, na kukinywea kikombe. Maana alaye na kunywa, hula na kunywa hukumu ya nafsi yake, kwa kutokuupambanua ule mwili.
Shirikisha
Soma 1 Wakorintho 11