1 Wakorintho 11:27
1 Wakorintho 11:27 Biblia Habari Njema (BHN)
Kwa hiyo, kila aulaye mkate huo au kunywa kikombe cha Bwana bila kustahili, atakuwa na hatia dhidi ya mwili na damu ya Bwana.
Shirikisha
Soma 1 Wakorintho 111 Wakorintho 11:27 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Basi kila aulaye mkate huo, au kukinywea kikombe hicho cha Bwana isivyostahili, atakuwa amejipatia hatia ya mwili na damu ya Bwana.
Shirikisha
Soma 1 Wakorintho 11