1 Wakorintho 11:12
1 Wakorintho 11:12 Biblia Habari Njema (BHN)
Kama vile mwanamke alivyotokana na mwanamume, vivyo hivyo mwanamume huzaliwa na mwanamke; kila kitu hutoka kwa Mungu.
Shirikisha
Soma 1 Wakorintho 111 Wakorintho 11:12 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Maana kama mwanamke alitoka katika mwanamume, vile vile mwanamume naye huzaliwa na mwanamke; na vitu vyote asili yake hutoka kwa Mungu. Hukumuni ninyi wenyewe katika nafsi zenu.
Shirikisha
Soma 1 Wakorintho 11