1 Wakorintho 10:4
1 Wakorintho 10:4 Biblia Habari Njema (BHN)
wakanywa pia kinywaji kilekile cha kiroho, maana walikunywa kutoka ule mwamba wa kiroho uliowafuata; mwamba huo ulikuwa Kristo mwenyewe.
Shirikisha
Soma 1 Wakorintho 101 Wakorintho 10:4 Swahili Revised Union Version (SRUV)
wote wakanywa kinywaji kile kile cha roho; kwa maana waliunywea mwamba wa roho uliowafuata; na mwamba ule ulikuwa ni Kristo.
Shirikisha
Soma 1 Wakorintho 10