1 Wakorintho 10:13
1 Wakorintho 10:13 Biblia Habari Njema (BHN)
Majaribu mliyokwisha pata ni ya kawaida kwa binadamu. Mungu ni mwaminifu, naye hataruhusu mjaribiwe kupita nguvu zenu, ila pamoja na majaribu, yeye atawapeni pia nguvu ya kustahimili na njia ya kutoka humo salama.
Shirikisha
Soma 1 Wakorintho 101 Wakorintho 10:13 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Jaribu halikuwapata ninyi, isipokuwa lililo kawaida ya wanadamu; ila Mungu ni mwaminifu; ambaye hatawaacha mjaribiwe kupita muwezavyo; lakini pamoja na lile jaribu atafanya na mlango wa kutokea, ili muweze kustahimili.
Shirikisha
Soma 1 Wakorintho 101 Wakorintho 10:13 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Jaribu halikuwapata ninyi, isipokuwa lililo kawaida ya wanadamu; ila Mungu ni mwaminifu; ambaye hatawaacha mjaribiwe kupita mwezavyo; lakini pamoja na lile jaribu atafanya na mlango wa kutokea, ili mweze kustahimili.
Shirikisha
Soma 1 Wakorintho 10