1 Wakorintho 1:4-5
1 Wakorintho 1:4-5 Biblia Habari Njema (BHN)
Ninamshukuru Mungu wangu daima kwa ajili yenu kwa sababu amewatunukia nyinyi neema yake kwa njia ya Kristo Yesu. Maana, kwa kuungana na Kristo mmetajirishwa katika kila kitu. Mmejaliwa elimu yote na uwezo wote wa kuhubiri.
Shirikisha
Soma 1 Wakorintho 11 Wakorintho 1:4-5 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Namshukuru Mungu sikuzote kwa ajili yenu, kwa sababu ya neema ya Mungu mliyopewa katika Kristo Yesu; kwa kuwa katika kila jambo mlitajirika katika yeye, katika maneno yote, na maarifa yote
Shirikisha
Soma 1 Wakorintho 1