1 Wakorintho 1:20
1 Wakorintho 1:20 Biblia Habari Njema (BHN)
Yu wapi basi, mwenye hekima? Yu wapi basi, mwalimu wa sheria? Naye bingwa wa mabishano wa nyakati hizi yuko wapi? Mungu ameifanya hekima ya ulimwengu kuwa upumbavu.
Shirikisha
Soma 1 Wakorintho 11 Wakorintho 1:20 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Yuko wapi mwenye hekima? Yuko wapi mwandishi? Yuko wapi mleta hoja wa nyakati hizi? Je! Mungu hakuifanya hekima ya dunia kuwa ni upumbavu?
Shirikisha
Soma 1 Wakorintho 1