1 Mambo ya Nyakati 29:14
1 Mambo ya Nyakati 29:14 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Lakini mimi ni nani, na watu wangu ni nani, hata tuweze kutoa kwa hiari hivi? Kwani vitu vyote vyatoka kwako na katika vitu vyako mwenyewe tumekutolea.
Shirikisha
Soma 1 Mambo ya Nyakati 291 Mambo ya Nyakati 29:14 Biblia Habari Njema (BHN)
“Lakini, mimi ni nani, na watu wangu ni nani, hata tuweze kukupa kitu? Kwa maana vitu vyote vyatoka kwako, tumekutolea vilivyo vyako wewe mwenyewe.
Shirikisha
Soma 1 Mambo ya Nyakati 29