1 Mambo ya Nyakati 29:12
1 Mambo ya Nyakati 29:12 Biblia Habari Njema (BHN)
Utajiri na heshima hutoka kwako, vyote wavitawala. Uwezo na nguvu vimo mkononi mwako, nawe wawakuza uwapendao, na huwaimarisha wote.
Shirikisha
Soma 1 Mambo ya Nyakati 291 Mambo ya Nyakati 29:12 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Utajiri na heshima hutoka kwako wewe, nawe watawala juu ya vyote; na mkononi mwako mna uweza na nguvu; tena mkononi mwako mna kuwatukuza na kuwawezesha wote.
Shirikisha
Soma 1 Mambo ya Nyakati 29