1 Mambo ya Nyakati 29:10
1 Mambo ya Nyakati 29:10 Biblia Habari Njema (BHN)
Ndipo Daudi akamtukuza Mwenyezi-Mungu mbele ya mkutano wote, akisema: “Utukuzwe milele na milele, ee Mwenyezi-Mungu, Mungu wa baba yetu Israeli.
Shirikisha
Soma 1 Mambo ya Nyakati 291 Mambo ya Nyakati 29:10 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Kwa hiyo Daudi akamhimidi BWANA, mbele ya mkutano wote; naye Daudi akasema, Uhimidiwe, Ee BWANA, Mungu wa Israeli baba yetu, milele na milele.
Shirikisha
Soma 1 Mambo ya Nyakati 29