1 Mambo ya Nyakati 28:10
1 Mambo ya Nyakati 28:10 Biblia Habari Njema (BHN)
Basi, ujihadhari na kukumbuka ya kwamba, Mwenyezi-Mungu amekuchagua wewe umjengee nyumba ya ibada. Uwe hodari ukatende hivyo.”
Shirikisha
Soma 1 Mambo ya Nyakati 281 Mambo ya Nyakati 28:10 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Jihadhari basi; kwani BWANA amekuchagua wewe ili ujenge nyumba itakayokuwa mahali patakatifu; uwe hodari ukatende hivyo.
Shirikisha
Soma 1 Mambo ya Nyakati 28