1 Mambo ya Nyakati 22:13
1 Mambo ya Nyakati 22:13 Biblia Habari Njema (BHN)
Ukiwa mwangalifu, na ukizitii amri ambazo Mwenyezi-Mungu alimwagiza Mose juu ya Israeli, utastawi. Jipe moyo, uwe imara. Usiogope wala usifadhaike.
Shirikisha
Soma 1 Mambo ya Nyakati 221 Mambo ya Nyakati 22:13 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Ndipo utakapofanikiwa, ukiangalia kuzitenda amri, na hukumu, BWANA alizomwagizia Musa juu ya Israeli; uwe hodari, na wa moyo mkuu; usiogope wala usifadhaike.
Shirikisha
Soma 1 Mambo ya Nyakati 22