Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Wimbo Ulio Bora 5:1

Wimbo Ulio Bora 5:1 BHN

Naingia bustanini mwangu, dada yangu, bi arusi. Nakusanya manemane na viungo, nala sega langu la asali, nanywa divai yangu na maziwa yangu. Kuleni enyi marafiki, kunyweni; kunyweni sana wapendwa wangu.