Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Wimbo Ulio Bora 2:1-2

Wimbo Ulio Bora 2:1-2 BHN

Mimi ni ua la Sharoni, ni yungiyungi ya bondeni. Kama yungiyungi kati ya michongoma, ndivyo alivyo mpenzi wangu kati ya wasichana.