Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Ruthu 1:16

Ruthu 1:16 BHN

Lakini Ruthu akamjibu, “Usinisihi nikuache wewe, wala usinizuie kufuatana nawe. Kokote utakakokwenda ndiko nami nitakakokwenda, na ukaapo nitakaa, watu wako watakuwa watu wangu, na Mungu wako atakuwa Mungu wangu.

Soma Ruthu 1

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Ruthu 1:16

YouVersion hutumia vidakuzi kubinafsisha matumizi yako. Kwa kutumia tovuti yetu, unakubali matumizi yetu ya vidakuzi kama ilivyoelezwa katika Sera yetu ya Faragha