Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Ufunuo 3:17-18

Ufunuo 3:17-18 BHN

Wewe unajisema, ‘Mimi ni tajiri; ninajitosheleza, sina haja ya kitu chochote;’ kumbe, hujui kwamba wewe ni mnyonge, unahitaji kuhurumiwa, maskini, kipofu tena uko uchi! Nakushauri ununue kwangu dhahabu iliyosafishwa kwa moto upate kuwa tajiri kweli. Tena afadhali ununue pia vazi jeupe, uvae na kufunika aibu ya uchi wako. Nunua pia mafuta ukapake machoni pako upate kuona.

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Ufunuo 3:17-18