Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Ufunuo 20:13-14

Ufunuo 20:13-14 BHN

Bahari ikawatoa nje wafu waliokuwa ndani yake; Kifo na Kuzimu vikawatoa nje wafu waliokuwa ndani yao. Kila mmoja akahukumiwa kufuatana na matendo yake. Kisha Kifo na Kuzimu vikatupwa ndani ya ziwa la moto. Ziwa hili la moto ndicho kifo cha pili.

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Ufunuo 20:13-14