Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Ufunuo 14:10-11

Ufunuo 14:10-11 BHN

yeye mwenyewe atakunywa divai ya ghadhabu ya Mungu ambayo imemiminwa katika kikombe cha ghadhabu yake bila kuchanganywa na maji. Mtu huyo atateseka ndani ya moto wa madini ya kiberiti mbele ya malaika watakatifu na mbele ya Mwanakondoo. Moshi wa moto unaowatesa hupanda juu milele na milele. Watu hao waliomwabudu huyo mnyama na sanamu yake na kutiwa alama ya jina lake, hawatakuwa na nafuu yoyote usiku na mchana.”

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Ufunuo 14:10-11