Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Ufunuo 1:3

Ufunuo 1:3 BHN

Heri yake mtu anayesoma kitabu hiki chenye maneno ya ujumbe wa kinabii; na heri yao wanaosikia na kushika yaliyoandikwa humu, maana wakati wa mambo haya umekaribia.

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Ufunuo 1:3