Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Zaburi 78:4-6

Zaburi 78:4-6 BHN

Hatutawaficha watoto wetu; ila tutakisimulia kizazi kijacho matendo matukufu ya Mwenyezi-Mungu na uwezo wake; tutawaambia maajabu yake aliyotenda. Aliwapa wazawa wa Yakobo masharti, aliweka sheria katika Israeli, ambayo aliwaamuru wazee wetu wawafundishe watoto wao; ili watu wa kizazi kijacho, watoto watakaozaliwa baadaye, wazijue, nao pia wawajulishe watoto wao

Soma Zaburi 78

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Zaburi 78:4-6