Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Zaburi 25:12-15

Zaburi 25:12-15 BHN

Kila mtu anayemcha Mwenyezi-Mungu, Mwenyezi-Mungu atamfunza njia ya kufuata. Mtu wa namna hiyo atafanikiwa daima, na wazawa wake watamiliki nchi. Mwenyezi-Mungu ni rafiki ya wale wamchao; yeye huwajulisha hao agano lake. Namwangalia Mwenyezi-Mungu daima; yeye atainasua miguu yangu mtegoni.

Soma Zaburi 25

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Zaburi 25:12-15