Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Zaburi 121:7-8

Zaburi 121:7-8 BHN

Mwenyezi-Mungu atakukinga na baya lolote; atayalinda salama maisha yako. Mwenyezi-Mungu atakulinda katika shughuli zako zote tangu sasa na hata milele.

Soma Zaburi 121

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Zaburi 121:7-8